Thursday, 10 September 2015

“BORA NIJITUPE CHINI YA BUS KULIKO KUJIUNGA NA ARSENAL”….NANI KASEMA HIVI??

1
Hapa ni kwamba anajaribu kuonyesha jinsi gani yupo loyal na club anayochezea sasa hivi na sio vinginevyo. Wiki chache zilizopita shabiki mmoja mmarufu sana wa Arsenal Piers Morgan alijaribu kumshawishi John Terry ajiunge na Arsenal kupitia twitter.
John Terry ameanza msimu huu kwa story kubwa, kwa mara ya kwanza JT alitolewa nje kwa sub baada ya muda mrefu ndnai ya Chelsea kuwa chini ya Mourihno. Pia kuna tetesi zilisambaa kwamba Mourinho na John Terry   hawaongei kutokana na kutokua na maelewano.
Gazeti la Guardian Football Weekly limefanya mahojiano na John Terry na moja ya majibu aliyoyatoa ni kuhusu kama anaweza kweli kujiunga na Arsenal, alichokijibu ndio title ya story hii kwamba bora ajitupe chini ya basi na lakini sio kujiunga na club ya ARSENAL

No comments:

Post a Comment