AYEW MECHAZAJI BORA UINGEREZA
Mshambulizi matata wa klabu
ya Swansea City Andre Ayew, ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi
uliopita, katika ligi kuu ya Uingereza ya Premier.
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ghana mwenye umri
wa miaka 25, amefunga magoli matatu, msimu huku, huku Swansea ikiwa
haijapoteza mechi yoyote msimu huu.
Swansea inashikilia nafasi ya nne kwenye msururu wa ligi kuu, ikiwa na alk alama nane, baada ya kucheza mechi nne.
No comments:
Post a Comment