MANCINI: NITAMSAINISHA BALOTELLI INTER
MILAN
Boss wa zamani wa manchester city anaamini kwamba mshambuliaji Super Mario Baloteli ni mzuri kiasi cha kuweza kuchukua nafasi ya Mauro Icard katika kikosi cha timu ya Taifa ya Italia,
Manager huyo wa Inter milan Roberto Mancini amesema anavutiwa sana na mchezaji huyo aliyetaka kumsainisha mkataba kabla ya Baloteli kujiunga na AC Milan.
No comments:
Post a Comment