LUIS NANI AZUA TAFRANI, MASHABIKI WA FERNABAHCE WAPANDWA NA WAZIMU
Mashabiki wa Fenerbahce ya Uturuki walishindwa kuzuia furaha yao baada ya kiungo Luis Nani alipowasili jiji Istambul.
Nani amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa pauni milioni 3.5 akitokea Man United ambayo ilikuwa imempeleka kwa mkopo Sporting Lisbon.
Burudani ilikuwa ni mashabiki wa timu hiyo ambao walijitokeza kwenye Uwanja wa Ndege kumpokea wakati akiwasili.
Waliimba na kucheza huku polisi wakilazimika kufanya kazi ya ziada kuwazuia wasivuruge utaratibu.

Mashabiki wa Fenerbahce ya Uturuki walishindwa kuzuia furaha yao baada ya kiungo Luis Nani alipowasili jiji Istambul.
Nani amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa pauni milioni 3.5 akitokea Man United ambayo ilikuwa imempeleka kwa mkopo Sporting Lisbon.
Burudani ilikuwa ni mashabiki wa timu hiyo ambao walijitokeza kwenye Uwanja wa Ndege kumpokea wakati akiwasili.Waliimba na kucheza huku polisi wakilazimika kufanya kazi ya ziada kuwazuia wasivuruge utaratibu.
No comments:
Post a Comment