ANGEL DI MARIA ANAWEZA KUTUA PSG,
Jorge Mendes amewasili Paris kama wakala wa angel dimaria tayari kufanya mazungumzo kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo wa mashetani wekundu manchester united kuhamia PSG.
Mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani amekuwa akifuatiliwa na manchester united kwa muda mrefu na anaweza kubadilishana na Angel Dimaria .
No comments:
Post a Comment