ARSENAL WAJA NA UZI MPYA

Asenal ndani ya uzi mpya
Wachezaji wa Arsenal kutoka kushoto Hector Bellerin, Tomas Rosicky, Santi Cazorla, Danny Welbeck na Nacho Monreal wakionyesha jezi zao mpya za nyumbani msimu wa 2015-2016 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Emirates usiku wa jana. Jezi hizo mpya za Washika Bunduki hao zinatarajiwa kuingia sokoni Juni 25, mwaka huu.
ARSENAL WAJA NA UZI MPYA
Asenal ndani ya uzi mpya |
No comments:
Post a Comment